Habari RFI-Ki
Marekani yaguswa na ripoti kuwa Rwanda inatoa mafunzo kwa waasi wanaompinga raisi wa Burundi Nkurunziza
Imechapishwa:
Cheza - 09:47
Wasikilizaji wanapata fursa ya kutoa maoni yao kuhusu Marekani kuguswa na ripoti inayoelezea Rwanda kujihusisha na mzozo wa burundi kwa kutoa mafunzo kwa vijana waasi ambao wanaupinga utawala wa raisi Pierre Nkurunziza....