Siku moja baada ya Tume ya taifa ya Uchaguzi nchini Burundi CENI kutangaza pendekezo la tarehe ya kufanyika uchaguzi mkuu ambayo ni tarehe 15 mwezi Julai, wapinzani nchini humo , wamekataa pendekezo hilo na kudai kuwa hitaji lao la kuwa na uchaguzi huru halijatekelezwa. Pia wamemtaka mpatanishi wa Umoja wa Mataifa Said Djinnit kujiuzulu kwa kushindwa kushughulikia mzozo huo,Fuatilia msikilizaji kujua nini kinaendelea
Vipindi vingine
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?07/05/202410:03 -
10:06
-
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13