Nyumba ya Sanaa
Maadhimisho ya miaka minne ya matangazo ya RFI Katika lugha ya Kiswahili barani Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 20:24
Katika makala haya, tunaungana na wasanii kutoka Afrika mashariki na kati, kuzungumzia maadhimisho ya miaka minne tangu kuanzishwa kwa kituo hiki cha radio france internationale kuanza kurusha matangazo yake katika lugha ya kiswahili, moja kwa moja kutoka studio zetu za Dar-es-salaam.Sanaa imethaminiwa vipi, katika kipindi hicho cha miaka minne, nao wasanii wamenufaika vipi katika maeneo yao?Ungana nami Edmond Lwangi Tcheli, Karibu.......