Muziki Ijumaa
Barnaba Boy atambulisha wimbo wake mpya Lover boy studio za RFI Kiswahili
Imechapishwa:
Cheza - 12:13
Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Barnaba Boy kwa mara nyingine tena ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam kutambulisha wimbo wake mpya "Lover Boy" Katika makala haya ya leo Ali Bilali amezungumza naye na kueleza mengi kuhusu wimbo huo karibu.