Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Kumbukumbu za Les Wanyika

Imechapishwa:

Bendi ya Les Wanyika ni miongoni mwa bendi zilizopiga fora miaka ya 70 kupitia nyimbo zao kama vile Kajituliza Kasuku, na nyingine, iliundwa na wanamuziki kutoka Tanzania na Kenya waliopiga Kambi jijini Nairobi. wiki hii Ali Bilali anakukumbusha kidogo historia ya bendi hii na nyimbo zake. usikosi pia kumfollow kwa Instagram

John Ngereza wa Bendi ya Les Wanyika
John Ngereza wa Bendi ya Les Wanyika Tamasha
Matangazo ya kibiashara

Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:40
  • 10:00
  • 10:09
  • 10:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.