Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Maitre Gims msanii wa Ufaransa mwenye asili ya DRCongo

Imechapishwa:

Makala Muziki Ijumaa Juma hili tunamzingumzia msanii wa Ufaransa mwenye asili ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, mtoto wa mwanamuziki wa zamani Juna Janana. Ambatana na Ali Bilali kusikiliza makala haya. unaweza pia kumfollow kupitia instagram na Twitter kwa kuandika billy_bilali.

Maitre Gims
Maitre Gims DR
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:40
  • 10:00
  • 10:09
  • 10:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.