Changu Chako, Chako Changu
Fahamu kuhusu taifa la Ufaransa, Muziki wa jadi wa Rwanda na jifunze kifaransa
Imechapishwa:
Cheza - 19:38
Katika makala haya leo Tunaangazia nchi ya Ufaransa, asili na chimbuko lake, muziki wa jadi nchini Rwanda na utajifunza salamu za kifaransa, fuatilia uelimike.