Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

R.Flow msanii anaevutia wapenzi wa Muziki kutokana na sauti yake

Imechapishwa:

Anaitwa Karimunda Riche Florin maharufu R.Flow, ni miongoni mwa wasanii wa Burundi wanaofanya vizuri katika tasnia ya Muziki nchini Burundi, sauti yake yenye mvuto na uimbaji wake ni miongoni mwa vituo vitu vinavyo wavutia wapenzio wengi wa muziki nchini Burundi. Kwenye Makala haya anazungumza na mtangazaji wako Ali Billy Bilali kuhusu maisha yake ya Muziki. unaweza pia kuwa follow kupitia mitandao wa kijamii Instagram @richeflorin, @billy_bilali

Msanii wa Burundi wa miondoko ya R&B R.Flow katika makala ya Muziki Ijumaa
Msanii wa Burundi wa miondoko ya R&B R.Flow katika makala ya Muziki Ijumaa R.Flow facebook
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:40
  • 10:00
  • 10:09
  • 10:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.