wakati mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ukiendelea, Ali Bilali anakuletea Qaswida mbalimbali kuhusu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, ungana naye hapa kusikiliza mengi zaidi, usikosi pia kumfollow kwenye facebook: Billy Bilali na instagram: billy_bilali
Vipindi vingine
-
Muziki Ijumaa
Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.27/04/202410:04 -
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.19/04/202410:40 -
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka
Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.18/11/202310:00 -
10:09
-
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio15/09/202310:03