Muziki Ijumaa
Matt Pokora Msanii wa Miondoko ya Pop na RnB kutoka Ufaransa
Imechapishwa:
Cheza - 11:54
Makala haya ya Muziki Ijumaa tunamzungumzia msanii wa Ufaransa wa miondoko ya Pop na RnB ambaye anaendelea kusumbuwa anga ya muziki nchini humo. Kujuwa mengi zaidi kuhusu msanii huyu ungana naye Ali Bilali katika Makala haya.