Pata taarifa kuu
Ungereza

Serikali ya Uingereza ya wakamata watu 100 jijini London

Jeshi la Polisi nchini Uingereza limewakamata watu mia moja katika usiku wa pili wa machafuko yanayoutikisa Mji Mkuu London yakilaani kifo cha Mark Duggan aliyeuawa na Polisi.

Nick Clegg
Nick Clegg Reuters
Matangazo ya kibiashara

Eneo la Tottenham limeshuhudia machafuko kufuatia kifo cha kijana Duggan aliyepigwa risasi wakati akitaka kukamatwa na hivyo polisi kwa sasa wanalazimika kutumia zana mbalimbali kurejesha hali kama awali.

Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Nick Clegg amelaani machafuko yanayofanywa na vijana na kusema kile kinachofanywa na polisi kwa sasa ni sahihi kwani wanataka kurejea utulivu kwenye eneo hilo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.