Pata taarifa kuu
Italia

Shughuli ya kupiga kura ya maamuzi yaendelea nchini Italia

Wananchi nchini Italia asubuhi hii wanaedelea na kura ya maamuzi iliyoanza jana kuunga au kupinga utumizi wa nyuklia nchini humo.

Waziri mkuu wa Italia Silvio Berlusconi,
Waziri mkuu wa Italia Silvio Berlusconi, REUTERS/Paolo Bona
Matangazo ya kibiashara

Wachambuzi wa maswala ya kisiasa nchini humo wanahisi huenda waziri mkuu Silvio Berlusconi anayedaiwa kuhusika na kashfa ya ngono na kahaba , akashindwa katika kura la zoezi hili, ambalo linaungwa mkono na upinzani.

Licha ya serikali ya Italia kuwataka wafuasi wake kutoshiriki katika kura hiyo ya maamuzi, zaidio ya asilimia 41 ya wapiga kura wamejitokeza kufanya uamuzi huo, katika zoezi linalohitaji asilimia hamsini ili kuwa halali.

Upinzani nchini humo unasema utashinda katika kura hiyo ya maamuzi na hivyo kuizuia serikali ya Italia kuanza mpango wa Atomic kufikia mwaka 2014.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.