Gurudumu la Uchumi
Kushuka kwa thamani ya shilingi kwa nchi za Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 09:46
Mtangazaji wa makala haya hii leo anaangazia kuhusu kuendelea kuporomoka kwa thamani ya shilingi kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na athari zake kiuchumi.