Gurudumu la Uchumi
Kuelekea uchaguzi wa Tanzania, 2015, zipi sera za uchumi za wagombea
Imechapishwa:
Cheza - 08:55
Mtangazaji wa makala haya, hii leo ameangazia kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea nchini Tanzania, ambapo anatazama sera za vyama vya siasa kuhusu uchumi na namna watakavyozitekeleza iwapo watachaguliwa.