Gurudumu la Uchumi
Je wananchi wa Tanzania wanaridhishwa na mwenendo wa kampeni na ahadi za kukuza uchumi
Imechapishwa:
Cheza - 09:25
Mtangazaji wa makala haya, hii leo anaangazia kuhusu mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania, ambapo anazungumza na wananchi pamoja na wataalamu wa uchumi kutathmini iwapo wananchi wanaridhishwa na namna ambavyo wagombea wameendelea kunadi sera zao za kukuza uchumi.