Mwanadiplomasia Michel Kafondo ameteuliwa kuwa rais wa mpito wa Burkina Faso, huku mwanajeshi Luteni Kanali Isaac Zida na kazi kubwa ni kuiongoza nchi hiyo kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mwingine.Rais Blaise Compaore alilazimika kujiuzulu baada ya maandamano ya kumtaka kufanya hivyo kwa madai ya kutaka kuwania tena urais nchini humo.