Gurudumu la Uchumi
Uhusiano kati ya bara la Afrika na Umoja wa Ulaya kiuchumi
Imechapishwa:
Cheza - 09:22
Makala ya “Gurudumu la Uchumi”, juma hili inaangazia uhusiano kati ya bara la Afrika na Umoja wa Ulaya kiuchumi, uhusiano ambao umekuwa wa mafanikio na manung'uniko kwa upande mwingine. Kuangazia hili Mtayarishaji wa makala haya Martha Saranga anazungumza na Mtaalamu wa Uchumi kutoka Dar es salaam Tanzania.