Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa siku mbili kujadili umuhimu wa matumizi sahihi ya rasilimali / DRC

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu mkutano wa siku mbili kujadili umuhimu wa matumizi sahihi ya rasilimali za nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na hasa sekta ya madini kwa lengo la kuwanufaisha wananchi wa taifa hilo.Mkutano huo ulisimamiwa chini ya uenyekiti wa rais Josephu Kabila.Emmanuel makundi amezungumza na Thomas Dakin mwenyekiti wa muungano wa mashirika ya kiraia mashariki mwa DRC pamoja na Gilbert Kalinda mbunge wa eneo la walikale jimboni Kivu Kaskazini.................

Wajumbe katika mkutano wa siku mbili kujadili umuhimu wa matumizi sahihi ya rasilimali za nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Wajumbe katika mkutano wa siku mbili kujadili umuhimu wa matumizi sahihi ya rasilimali za nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.