Gurudumu la Uchumi
Uhusiano wa mataifa ya Afrika na Umoja wa Ulaya kiuchumi
Imechapishwa:
Cheza - 09:31
Katika makala haya hii leo, tunaangazia uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa ya Afrika na Umoja wa Ulaya EU baada ya bunge la umoja huo kupitisha bajeti yake ya mwaka 2014-2020. Fuatana na Emmanuele Makundi ufahamu mengi. Karibu.