Gurudumu la Uchumi
Mkutano wa kimataifa kuhusu Haki Miliki uliofanyika nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 09:11
Tanzania wiki hii imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa wa Haki Miliki kuwasaidia wasanii kutambua haki zao.Je suala hili linaathiri vipi uchumi ? Ungana na Emmanuel Makundi kwa usimulizi zaidi