Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Viwanda katika mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Katika ya leo Gurudumu la Uchumi tunazumgumzia kuhusu umuhimu wa Viwanda ambapo ni secta muhimu kwa uchumi wa taifa lolote lile duniani. Hivi karibuni gharama za uzalishaji zimeongeza hadi ngazi ya mishara kwenye viwanda. Emmanuel Makundi amezungumzia sula hili na Dactari Damien Gabagambi muhadhiri kwenye chuo kikuu cha Sokoine SUA na Georges Kandhi ni mtafiti na Mtaalamu wa maswala ya Uchumi kutoka chuo kikuu cha Uchumi jijini Dar Es Salaam

Makala ya Gurudumu la Uchumi
Makala ya Gurudumu la Uchumi RFIkiswahili
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.