Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Ni kweli Afrika imeshindwa kusimamia biashara zake za ndani?

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia sababu ambazo zinakwamisha kuimarika kwa biashara ya ndani miongoni mwa mataifa barani Afrika jambo ambalo limepelekea nchi nyingi kuwa tegemezi kwa bidhaa toka mataifa ya Ulaya.Mtangazaji wa makala haya Emmanuel Makundi amezungumza na George Gandye mchambuzi wa masuala ya biashara za ndani na kimataifa na muhadhiri toka chuo kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania. 

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.