Gurudumu la Uchumi
Fahamu ni namna gani unaweza kutumia mabaki ya chakula kutengeneza nishati mbadala
Imechapishwa:
Cheza - 09:06
Mtangazaji wa makala haya juma hili amezungumza na mtaalamu toka kampuni ya Simgas Tanzania, kamouni ambayo inajihusisha na utafiti wa nishati mbadala ambapo juma hili imevumbua mtambo mpya wa kuzalisha nishati ya gesi asilia kwa kutumia mabaki ya chakula.