Gurudumu la Uchumi
Unafahamu namna teknolojia ya habari na mawasiliano inavyoweza kutumika katika biashara?
Imechapishwa:
Cheza - 10:06
Katika makala haya utafahamu jinsi nchi zinazoendelea zinavyotumia teknolojia ya habari na mawasiliano kuendesha biashara kwenye mtandao ili kukuza uchumi wa mataifa yao.