Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Wananchi wa Nigeria waingia kwenye mgomo kupinga ruzuku ya mafuta iliyotangazwa na serikali
Imechapishwa:
Cheza - 19:53
Mtangazaji wa makala hii juma hili anakuletea mengi ya yaliyojiri juma hili lakini kubwa ni kuhusiana na kutangwazwa kwa mgomo na shirikiisho la wafanyakazi nchini Nigeria ambao wanapinga nyongeza ya ruzuku kwenye mafuta iliyotangazwa na serikali.