Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Hali yazidi kuwa mbaya nchini Somalia
Imechapishwa:
Cheza - 19:56
Mtangazaji wa makala haya, juma hili katika yaliyojiri ameangazia hali ya mambo nchini Somalia, na pia tukio la bomu na kushambulia kwa risasi lililofanyika nchini Norway juma hili.