Changu Chako, Chako Changu
umuiya ya Kimataifa za nchi zinazungumza Kifaransa
Imechapishwa:
Cheza - 20:10
Juma hili tumeangazIa Jumuiya ya Kimataifa za nchi zinazungumza Kifaransa, l'Organisation Internationale de la Francophonie, historia yake, lengo lake kwenye masuala ya kiutamduni, huku tukigusia kidogo miaka 42 ya Jumuhiya tangia kuundwa kwake.