Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Msanii wa Burundi anayefanya kazi zake nchini Afrika Kusini

Imechapishwa:

Makala ya Muziki Ijumaa leo tunamzungumzia mwanamuziki  wa Burundi anaeendesha kazi zake nchini Afrika Kusini Nkejimana Ervin maharufu Chris Dizzo ambae anakwenda na miondoko ya R&B. Mwanamuziki huyo anaadhimisha leo Ijumaa Machi 23 kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, wakati akiandaa uzinduzi wa Album yake ya pili inayokuja kwa jila la "Incungu y'Uburundi" ama Kinara wa Uhuru wa Burundi, ambapo Burundi itaadhimisha miaka 50 Julay mosi mwaka huu ya uhuru kutoka wakoloni.

Mwanamuziki wa Burundi anaefanya kazi zake za muzki nchini Afrika Kusini Chris Dizzo
Mwanamuziki wa Burundi anaefanya kazi zake za muzki nchini Afrika Kusini Chris Dizzo Chris D
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:40
  • 10:00
  • 10:09
  • 10:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.