Maktaba za Siasa - Uchumi za Alhamisi 12 Aprili 2012
Previous day: 11 Aprili 2012 Next day: 13 Aprili 2012-
Serikali ya Syria yashindwa kuondoa Vikosi vyake mitaani kwa wakati kama walivyokubaliana na Kofi Annan
-
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe arejea nyumbani baada ya kupatiwa matibabu Nchini Singapore
-
Ndege za Kivita za Sudan zashambulia Sudan Kusini huku mazungumzo baina ya pande hizo mbili yakivunjika
-
Mtuhumiwa wa Mauji ya kijana mweusi Nchini Marekani Zimmerman akamatwa na kufunguliwa mashtaka
-
Rais wa Mpito Nchini Mali Traore aapishwa na kuahidi wapo tayari kupambana na Waasi wanaoshikilia sehemu ya Kaskazini
-
Maandamano makubwa yafanyika nchini Syria baada ya serikali ya Rais Assad kusitisha mashambulizi kutekeleza mapendekezo ya Annan