-
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon apendekeza kutumwa kwa wanajeshi 11.820 nchini jamhuri ya Afrika ya kati
-
Mtu mmoja apoteza maisha katika maandamo ya waislam jijini Nuakchott kupinga kitendo cha kuchanwa kwa Koran
-
Kesi ya mauaji ya bingwa wa mbio za paralympic Oscar Pistorus inaendelea kusikilizwa leo kwa siku ya pili.