-
Afya ya Nelson Mandela yatajwa kuzidi kuimarika licha ya kuendelea kusalia mahtuti akipatiwa matibabu huko Pretoria
-
Watu tisa wapoteza maisha nchini Misri baada ya kuzuka kwa ghasia kati ya Wafuasi wa Morsi na wale wanaompinga
-
Jeshi la Serikali Nchini DR Congo FARDC limeendelea kushambulia ngome za Kundi la Waasi la M23 kwa kutumia Helkopta tatu za Kijeshi