-
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko nchini Burundi huenda ikaongezeka ambapo kwa sasa imefikia watu 60
-
Mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC yamkuta na hatia kiongozi wa majeshi zamani mashariki mwa DRCongo Bosco Ntaganda
-
Upinzani nchini Syria waonya kuwa hautorejea kwenye mazungumzo iwapo hakuna hatuwa itayofikiwa mjini Geneva
-
Waasi wa Sudan Kusini watishia kujiondoa kwenye mazungumzo iwapo Uganda haitowandoa wanajeshi wake nchini Sudan Kusini
-
Wanamgambo wa kikristo wa anti-balaka wapewa onyo kwa kuendelea kuhatarisha usalama wa raia nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
-
Tatizo la afya ya uzazi
-
Malalamiko ya wazazi wa Kenya
-
Jamii ya Banyamulenge