-
Afrika Kusini yamkumbuka Mandela kwa ibada maalum leo Jumapili kwenye maeneo mbalimbali kabla ya maziko yake Disemba 15
-
Shirika la kimataifa linalopinga matumizi ya silaha za kemikali OPCW kupokea tuzo ya amani ya Nobel majuma kadhaa kabla ya kuteketeza ghala ya silaha za Syria
-
Kilimanjaro Stars yaifungisha virago Uganda Cranes kombe la Chalenji