-
Mke wa Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor alalamikia mazingira ya jela anakozuiliwa mumewe
-
Umoja wa Ulaya watakiwa kuchangia katika kupiga vita biashara haramu ya binadamu katika mpaka wa Sudan na Eritrea
-
Kundi la Kigaidi la Al-Qaeda lakiri kuhusika na mauaji ya waandishi wa habari wawili wa Ufaransa waliouawa mwishoni mwa juma lililopita katika nchi ya Mali
-
Baada ya ngome za M23 mashariki mwa DRC kusambaratishwa, Kiongozi wa kijeshi wa kundi hilo Sultani Makenga ajisalimisha kwa jeshi la Uganda
-
Ripoti ya uchunguzi yabaini huenda Rais wa zamani wa mamlaka ya Palestina, Yasser Arafat aliuawa kwa sumu
-
Barcelona, Atletico zatinga hatua ya mtoano kuwania kombe la klabu bingwa barani Ulaya
-
Mazungumzo ya mpango wa nyuklia wa Iran yaanza tena hii leo nchini Iran
-
Pendekezo la kuongezwa muda wa hatari nchini Nigeria laidhinishwa rasmi na bunge
-
Kundi la waasi wa M23 latangaza kusitisha uasi wake nchini DRCongo
-
Ulinzi Shirikishi