-
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel agadhabishwa na tuhuma za Marekani kuchunguza mawasiliano yake ya simu
-
Katibu Mkuu UN Ban Ki Moon aitaka serikali ya Msumbiji na kundi la Renamo kufanya mazungumzo ili kuepuka uhatarishaji wa amani
-
Waziri Mkuu Sharif ataka Marekani kutofanya mashambulizi ya roketi nchini Pakistan
-
Jitihada za kurejesha miundo mbinu ya umeme zaendelea baada ya waasi kushambulia Syria
-
Mwamuzi wa mchuano Manchester City na CSKA Moscow kuondolewa kibaruani baada ya kushindwa kudhibiti ubaguzi wa rangi
-
Zaidi ya watu laki moja waathirika kwa mafuriko Sudani Kusini
-
Kutokota kwa Mgogoro wa eneo lenye utajiri wa mafuta Abyei
-
Siku ya kimataifa ya kupambana na Polio jitihada za Afrika mashariki zipoje?