-
Shirika linalo kusanya silaha za kemikali na kuziteketeza limeeleza kuridhishwa na ushirikiano wanaoupata kutoka kwa utawala wa Syria
-
Maelfu ya wafanyakazi warejea kazini nchini Marekani baada ya kuatikana muafaka kati ya wabunge wa Repblican na Democrats
-
Udunguaji wa ndege ya rais wa zamani wa Rwanda Juvenal Habyarimana, Afrika Kusini haijatowa jibu la Hakimu wa Ufaransa kumuhoji Kayumba Nyamwasa
-
Kocha wa zamani wa Senegal Bruno Metsu aliefariki mwanzoni mwa juma hili kuzikwa nchini Senegal juma lijalo
-
Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika AU, Nkosazana Dlamine Zuma azuru jijini Kinshasa mwishoni mwa juma
-
Vikosi vya Mali na Ufaransa bega kwa bega kupiga doaria kaskazini mwa taifa hilo
-
Hofu ya kutokea mashambulizi yatanda Afrika Mashariki, polisi nchini Uganda yawatahadharisha wananchi na kuwaomba kuwa makini
-
Mazungumzo ya amani ya amani kati ya Kampala katiya M23 na serikali ya DRCongo