-
Rais wa Palestina Mahmoud Abbas aliapisha Baraza Jipya la Mawaziri chini ya Waziri Mkuu Rami Hamdallah
-
Serikali ya Korea Kaskazini yaendelea na mikakati yake ya kuhakikisha jirani zao wa Korea Kusini wanafanya nao mazungumzo
-
Waziri Mkuu Reccep Erdogan ataka Waandamanaji kusitisha maandamano yao mara moja na kuwataka wafuasi wake kurejea nyumbani
-
Serikali ya Austria yataka Wanajeshi wake wanaolinda Amani katika Eneo la Golan kuondoka baada ya wanajeshi wawili kujeruhiwa
-
Serena Williams kukabiliana na Maria Sharapova kwenye Fainali ya Mashindano ya French Open siku ya Jumamosi
-
Usain Bolt ashindwa kwa mara ya kwanza kwenye Mashindano ya Riadha ya Rome na Justin Gatlin
-
Marie Daulne mwanamuziki kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambaye anaongoza Bendi ya Zap Mama