-
Idadi ya watu waliokufa katika operesheni ya kuwaokoa mateka kwenye kituo cha Gesi nchini Algeria yafikia 80
-
Idadi ya watu waliokufa katika operesheni ya kuwaokoa mateka kwenye kituo cha Gesi nchini Algeria yafikia 80
-
Vikosi vya Ufaransa na vile vya Mali vimefanikiwa kuingia kwenye mji wa Diabaly uliokuwa unakaliwa na waasi wa Kiislamu
-
Shambulio la bomu lajeruhi watu sita mjini Kabul, risasi zarindima
-
Mahakama kuu mjini New Delhi, India yasema inafikiri kuhamisha kesi ya watuhumiwa wa ubakaji nje ya mji huo
-
Andy Rajoelina ahaidi kurejea kwenye siasa mwaka 2018 baada ya kukubali kutowania nafasi yoyote mwaka huu
-
Rais Barack Obama aapishwa Ikulu kuongoza kwa awamu ya pili
-
Chama cha Kansela Angela Merkel chaangushwa kwenye uchaguzi wa jimbo la Cliffhanger
-
Majeshi ya Myanmar yashambulia kambi za waasi wa Kachin, wenyewe watishia kuendeleza vita
-
Mali yapata ushindi dhidi ya Niger wakati DR Congo na Ghana wakitoka sare ya 2-2, leo ni zamu ya mabingwa watetezi Zambia
-
Michuano ya tenesi ya Australia Open yashika kasi
-
Mahakama nchini Afrika Kusini imemkuta na hatia Henry Okah kiongozi wa kundi la Mend nchini Nigeria
-
Baraza la mpito nchini Syria la ahirisha kumteua waziri mkuu wake
-
Makachero wa Marekani na Japan waanzisha uchunguzi wa betri za ndege aina ya Boeing 787
-
Haki za binadamu
-
Nishati mbadala
-
Mchango wa dini katika kuleta amani