Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Picha zinazodai kuwa wakaazi wanatumia boti jijini Nairobi kutokana na mafuriko

Imechapishwa:

Moja ya habari tunayoangazia ni picha kutoka Kenya kuwa wakaazi wa jiji kuu wanatumia boti kutokana na mafuriko lakini huu ni uongo. 

Picha kutoka Kenya kuwa wakaazi wa jiji kuu wanatumia boti kutokana na mafuriko lakini huu ni uongo.
Picha kutoka Kenya kuwa wakaazi wa jiji kuu wanatumia boti kutokana na mafuriko lakini huu ni uongo. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Kuongeza na hayo ni tutaangazia machapisho ya video ya uwongo inayooynesha msako mkali wa polisi wa Zimbabwe kuhusu sarafu mpya. Pia tunaangalia madai ya msafara wa majeshi ya NATO ulioshambuliwa na Urusi nchini Ukraine

Vipindi vingine
  • 10:18
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.