Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Ulimwengu waadhimisha sikukuu za Krismas na mwaka mpya chini ya tahadhari ya Omicron
Imechapishwa:
Cheza - 20:18
Makala ya wiki hii imeangazia kwa kiasi kikubwa tahadhari inayoshuhudiwa hivi sasa kote ulimwenguni baada ya kuenea sehemu mbali mbali ya dunia kwa taarifa kuhusu maambukizi ya kirusi kilichogunduliwa huko Afrika kusini, pamoja na mambo mengine mengi. Karibu kujiunga na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi