Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Kenya: Polisi watumia nguvu kupita kiasi

Imechapishwa:

Mashirika kadhaa ya kirai nchini yametuhumu polisi kwa kumia nguvu kupita kaisi kuwakabili wandamanaji wa upinzani wambao wamekuwa wakishiriki maandamano kutaka serikali kushughulikia kupanda kwa gharama ya maisha.

Polisi wanasema wamewakamata watu 300 wanaohusishwa na maandamano hayo yaliogeuka kuwa machafuko
Polisi wanasema wamewakamata watu 300 wanaohusishwa na maandamano hayo yaliogeuka kuwa machafuko REUTERS - THOMAS MUKOYA
Matangazo ya kibiashara
Amnesty imewataka maofisa wa polisi kuvalia sare rasimi wakati wa maandamano
Amnesty imewataka maofisa wa polisi kuvalia sare rasimi wakati wa maandamano AP - Brian Inganga
Mashirika hayo yanatka  polisi wanaohusika kutumia kuchukuliwa  hatua za kisheria, wakati huu serikali ikiwatetea wahusika.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.