Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Je wanawake wanatetea haki zao?

Imechapishwa:

Katika makala haya tunajadili dhana kuwa wanawake hawapo mstari wa mbele kupigania haki zao, ambapo utaskia kauli ya Allan Ngare kutoka Human Right Watch anayekanusha vikali dhana hiyo, pia utaskia kutoka kwa mratibu wa kina dada wanaotumia miili yao kupata riziki bi Felister Abdalla anayesema wakati umewadia jamii kuwakumbatia.

Mkurungezi mkuu wa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Huma Rigth Watch,Tirana Hassan (kushoto) na Allan Ngare mkurugezi wa utetezi wa Human Right Watch kanda ya Africa.
Mkurungezi mkuu wa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Huma Rigth Watch,Tirana Hassan (kushoto) na Allan Ngare mkurugezi wa utetezi wa Human Right Watch kanda ya Africa. © rfi Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

kwa jumla hata hivyo wote wanakiri kuwa hatua zaidi zastahili kuchukuliwa ili kulinda haki za wanawake.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.