Bunge la watoto wilayani Masisi Mashariki mwa DRC, linashutumu unyanyasaji unaofanyiwa watoto kwa kuhusishwa katika biashara ya ngono.
Matangazo ya kibiashara
Kulingana na mashairika ya kiraia na wanaharakati wa haki za binadamu huko Masisi, maelfu ya watoto wanatumiwa kiuchumi na wazazi wao ambao huwalazimisha kufanya kazi nao katika shughuli zao za vijijini na katika biashara ndogo ndogo za kingono .
Kwa mujibu wa wanaharakati kwa haki za binadamu, hali linatokana na vita vya M23 na makundi mengine yenye silaha ambayo yanafanya eneo hili kukosa usalama.
Kwa mengi zaidi skiza makala haya.