Jua Haki Zako
Haki za wanawake na watoto nchini DRC zaendelea kukandamizwa
Imechapishwa:
Cheza - 09:46
Hali ya kibinadamu nchini DRC, inazidi kuzorota wanawake na watoto wakionekana ndio waathiriwa zaidi katika taifa hilo.Katika makala haya mwanaharakati na wakili Placide Ntole anatoa ufafanuzi.