Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

UNHCR/NRC: Njaa yatafuna raia wa Somalia

Imechapishwa:

Ripoti iliotolewa kwa ushirikiano wa masharika ya UNHCR na NRC, yaani Norwegian Refugee Council imesema hali ya ukame nchini Somalia inazidi kuwa mbaya zaidi na kuwazimisha raia wengi kukimbi makwao kuenda mijini kutafuta chakula, wale wanaosalia vijijini wakiwa katika hatari ya kufariki.Skiza makala haya kwa mengi zaidi.

Mtoto mwenye umri wa miaka miwili amelala katika hema la muda katika kambi ya Muuri, mojawapo ya kambi 500 za wakimbizi wa ndani (IDPs) mjini, Baidoa, Somalia, Februari 13, 2022. Ukosefu wa mvua ya kutosha tangu mwishoni mwa 2020 imekuja kama pigo mbaya kwa watu ambao tayari wanakabiliwa na uvamizi wa nzige kati ya 2019 na 2021, janga la Covid-19. (Picha na YASUYOSHI CHIBA/AFP)
Mtoto mwenye umri wa miaka miwili amelala katika hema la muda katika kambi ya Muuri, mojawapo ya kambi 500 za wakimbizi wa ndani (IDPs) mjini, Baidoa, Somalia, Februari 13, 2022. Ukosefu wa mvua ya kutosha tangu mwishoni mwa 2020 imekuja kama pigo mbaya kwa watu ambao tayari wanakabiliwa na uvamizi wa nzige kati ya 2019 na 2021, janga la Covid-19. (Picha na YASUYOSHI CHIBA/AFP) AFP - YASUYOSHI CHIBA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.