Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Kenya : Haki ya kupiga kura kuwachagua viongozi

Imechapishwa:

Taifa la Kenya linashiriki uchaguzi mkuuu wito ukitolewa kile pembe ya taifa hilo na raia kujitokeza kwa wingi kushiriki jukumu lao la kikatiba na pia haki yao ya kuwachagua viongoziKatika katika Makala haya utaskia kutoka kwa Jame Ciera, kutoka sharia la Twaweza East Africa, Hellen Mudora kutota Urai Trust na Amina Mohamed kutoka tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC, wote hao wakiwa mstari wa mbele kuhamasisha wakenya kushiriki uchaguzi wa mkuu kwa kuwachagua viongozi.

Frederick Onyango anauza badiko za shilingi 6000, sarafu ambayo  haipo nchini Kenya, huku uso wa mgombea urais Raila Odinga ukionekana nje ya mkutano wa mwisho wa Odinga siku ya Jumamosi.
Frederick Onyango anauza badiko za shilingi 6000, sarafu ambayo haipo nchini Kenya, huku uso wa mgombea urais Raila Odinga ukionekana nje ya mkutano wa mwisho wa Odinga siku ya Jumamosi. © RFI/Laura-Angela Bagnetto
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.