Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Women Deliver na haki za wanawake na wasichana

Imechapishwa:

Wanawake na wasichana ni miongoni mwa watu ambao haki zao zimetajwa kukiukwa pakubwa, ni kutokana na sababu hizi ndio maana mashirika kama vile women Deliver yamejitokeza kupigania haki za wanawake na wasichana kote duniani .Wanachama wa Women Deliver, Kathleen Sherwin ambaye ni mwanachama wa bodi ya shirika la Women Deliver naΒ  Samason Desvae ambaye ni mwenyekiti mwenza wa mkutano wa Women Deliver ataofanyika nchini Rwanda mwaka 2023, wanazungumzia haki za wanawake katika makala haya.

Maliha Khan, rais wa Shirika la Women Deliver
Maliha Khan, rais wa Shirika la Women Deliver Β© Women Deliver
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.