Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Changamoto za uhamiaji na fursa zake kwa uchumi

Imechapishwa:

Uhamiaji unaweza kuwa nguzo muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa Afrika ikiwa mtu anaweza kutoa mwelekeo bora wa fedha zinazotumwa na wageni kuelekea uwekezaji na ufadhili wa maendeleo katika nchi za Afrika.Diasporas wanachangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi zetu ambazo kimsingi ni nchi za asili lakini pia nchi mwenyeji.

Sehemu ya boti na mabaki ya vifaa ambavyo wahamiaji walikuwa wakitumia kujaribu kuvuka bahari kuingia Ulaya.
Sehemu ya boti na mabaki ya vifaa ambavyo wahamiaji walikuwa wakitumia kujaribu kuvuka bahari kuingia Ulaya. AP - Javier Bauluz
Matangazo ya kibiashara

Wanafanya hivyo kwa kuhamisha pesa, ujuzi, teknolojia, mifano ya utawala, maadili, na mawazo. Serikali ya Senegal inafahamu mabadiliko yanayohitajika tunapojitahidi kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) na Mkataba wa Kimataifa wa Uhamiaji Salama, Ulio na Utaratibu na wa Kawaida nchini Senegali.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.