Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Matarajio ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2024

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inaangazia mustakabali wa jumuiya ya Afrika Mashariki kiuchumi kwa mwaka 2024, hasa baada ya athari za uviko 19 za tangu mwaka 2020 na sasa mdororo wa uchumi wa dunia, ambao umesababisha mataifa masikini, ikiwemo ya ukanda kushuhudia kupanda kwa gharama ya maisha.Nimezungumza na Johnson Denge, mchambuzi wa masuala ya uchumi akiwa nchini Kenya.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akimkabidhi bendera ya Jumuiya hiyo, rais wa DRC Felix Tshisekedi mjini Goma. 26/06/2021
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akimkabidhi bendera ya Jumuiya hiyo, rais wa DRC Felix Tshisekedi mjini Goma. 26/06/2021 © EAC
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.