Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa China na Afrika pamoja na ziara za viongozi nchi za Magharibi barani Afrika

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mkutano wa nchi ya Uchina na viongozi wa Afrika uliofanyika wiki kadhaa zilizopita, pamoja na ziara za viongozi wa nchi za Marekani, Uingereza na Ujermani kwenye nchi za Afrika Mashariki na Magharibi.Ziara zao zinaashiria nini katika muktadha wa kiuchumi? Emmanuel Makundi amezungumza na Profesa Wetengere Kitojo, kuangazia haya kwa kina.

Mfalme Charles watatu wa Uingereza alipokuwa ziarani nchini Kenya.
Mfalme Charles watatu wa Uingereza alipokuwa ziarani nchini Kenya. REUTERS - MONICAH MWANGI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.